Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Safi majiran,msiwe na wasiwasi sie man u tutawapa points 3 mapemaaaaaa.Ubingwa wenu na si wa wale wakina fulan
 
Nyie jamaa Tottenham ndo kashapigwa EPL, mishinda kesho mtakuwa na points sawa sawa na yeye na michezo sawa.

Njia pekee ya ninyi kuingia Top 4 ni kushinda game ya kesho na ya Jumatano.

Nawakumbusha huku nikiwaombea ushindi kwa game zenu zilizobaki.
Ya kesho tunashinda ila ya jumatano hatutaki ushindi
Tunauza mechi kwa man shit 😂😂
 
Nyie jamaa Tottenham ndo kashapigwa EPL, mishinda kesho mtakuwa na points sawa sawa na yeye na michezo sawa.

Njia pekee ya ninyi kuingia Top 4 ni kushinda game ya kesho na ya Jumatano.

Nawakumbusha huku nikiwaombea ushindi kwa game zenu zilizobaki.
Ni kama vile ninyi kesho mmeshashinda hahahaha if you what i mean
 
Nyie jamaa Tottenham ndo kashapigwa EPL, mishinda kesho mtakuwa na points sawa sawa na yeye na michezo sawa.

Njia pekee ya ninyi kuingia Top 4 ni kushinda game ya kesho na ya Jumatano.

Nawakumbusha huku nikiwaombea ushindi kwa game zenu zilizobaki.
Hahahahahahaha, kwa maombi hayo

Mkuu kwa kweli unaipenda sana Liverpool
 
Back
Top Bottom