BlackPanther
JF-Expert Member
- Nov 25, 2015
- 9,334
- 8,813
Kwa soka la sasa hvi nguvu ya kocha huwa ni huwa ni miaka mitatu tuu, baada ya hapo ili kocha afanye vzur anatakiwa kuondoa kuanzia wachezaji wa nne wa kikosi cha kwanza na kuleta wapya....hii hali ilikuwepo sana kipind cha Ferguson , akina Beckham , Ronaldo, Tevez, nk wote waliuzwa walipoanza kuonyesha makucha, kocha alikuwa na nguvu..sio sasa hv wachezaji ndo wana nguvu, bodi ya Manchester haikuwa tayar kumpa ushirikiano mourinho , hawakumkubali tokea mwanzo....
walimpa kazi kama geresha tuuu...in short wamemfanyia unafiki sana, ni kama tu alivyoikuta Chelsea Mara ya pili ( kuna wachezaji Mungu mtu) ukimueleza madhaifu yake ananuna, ukimweleza anatakiwa acheze hv anakwambia Mimi huwa nacheza hv...
Hata Guardiola na klopp bila support ya bodi wangekuwa hawapo, waliingia kwenye matatizo makubwa na wachezaji , lakn bodies iliruhusu wakauzwa ili kumpa nguvu kocha....
tatizo sio kusajili wachezaji wa paundi milioni 150 tatizo ni kusajili wachezaji bora.Ukweli mchungu kwetu mashabiki wa Man United.... Liverpool ni timu bora ulaya kwa mara nyingine....sisi tukisema tufocus wachezaji wa paun mil 150 tunaumia....tusajili kwa akili, mchezaji raia wa nchi yoyote mwenye uwezo aje hilo ndo hitaji kubwa
Kauli zake ni za mkosaji, sizitaki mbich hizi. Anaongoa nonsense. Can a professional coach buy a player who cost a club 500000 on the bench?The coach after me [Mourinho] changed to park-the-bus tactics and played on the counter. Now there is another coach who parks the bus and plays on the counter. The main difference between Mourinho and Solskjaer is that Solskjaer is winning. (LVG)
03 / 03 / 2019
“Can Fulham get a better manager than Claudio Ranieri?
Not at all,” Mourinho said.
“Can you compare the experience between Claudio and Scott parker who is going to coach a team for the first time?
Not at all.“But sometimes in football, and you have the example with my former club (Man Utd hiring Solskjaer), that sometimes changes on the immediate
I don’t believe too much in these changes in the long term but these changes on the immediate, there are sometimes some positive results."
kumsikiliza jose mourinho anavyofanya uchambuzi wa soka ni raha zaidi kuliko kumuangalia jose anavyofundisha soka.
kumbe huyu mzee alishayaona mabadiliko yetu ya kiuchezaji ni ya muda mfupi tokea mwanzoni.
Liverpool siyo wazuri sana pia,kuna makosa huwa wanafanya tena kibao tu,so wakikutana na timu yenye wachezaji clinical inakuwa habari nyingine. Naona nafasi ya liver ni finyu. Barca wametufunga kihalali hawajabahatishaTuweke ushabiki wa Messi na Barca pembeni...
Ukweli ni kwamba Barca wameshinda kwasababu ya madhaifu ya kikosi cha Man utd... Hawajaonyesha performance yoyote ile ya kutiiiisha!!!
Kwaiyo usitegemee akikutana labda na Liver eti atapata mteremko kama kwa Man utd...
Ingawa wamewatoa man utd, Barca wanatakiwa waimprove performance yao... Vinginevyo hawafiki popote paleeee!!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Liverpool siyo wazuri sana pia,kuna makosa huwa wanafanya tena kibao tu,so wakikutana na timu yenye wachezaji clinical inakuwa habari nyingine. Naona nafasi ya liver ni finyu. Barca wametufunga kihalali hawajabahatisha
Umemaliza mkuu .Louis van Gaal: ”Unfortunately, we are talking about a commercial club, not a football club. The structure of Manchester United isn't bad but the right hand has to be a technical director with a football view, not somebody with a banker's role."
Babu katoa ya moyon
GGMU kama umeumia pole still am Man u fan haibadiliki hio.
Hii ni mara ya mwisho kukujibu popote pale JF coz hujui kitu unapanic mno,cheki hadi unakosea spelling
narudia tena BADO NAIAMINI MAN U.


kumbe ni ka dada




Liverpool atapata shida sana kwa Barca na ninadhani Barca wataenda fainali. Kitendo cha Barcelona kuwa na Messi ni habari nyingine kabisa.
kumbe ni ka dada
Acha kujipa Maumivu yasiyo ya msingi We Dada.
MUNGU HAKUNYIMI VYOTE,ASIPOKUPA FURAHA ,ATAKUPA HUZUNI
![]()
Huu sasa ni uswahili, umeshindwa kujiongeza kutambua ni typing error?Week squad ni nini chief?
Usipaniki.Huu sasa ni uswahili, umeshindwa kujiongeza kutambua ni typing error?
CorrectionsMartial analipwa £200k kwa wiki alafu Son anapata £140k tena hapo ndo kaboreshewa.
Eriksen analipwa £75k huku Dele Ali akipata £55k kwa wiki wakati Jesse Lingard anapewa £100k pale United huu ni upumbavu.
Kieran Trippier £44k alaf Ashley Young £110k wakati huo huo Criss Smalling anakula £120+ kule Jan Vertonghen anapewa £100k. Bila kusahau Phil Jones £100k alaf jembe Toby Alderweireld anakunja £80k.
United inatia hasira sana alaf hao wachezaji wanaolipwa mishahara hyo wakiwa hawastahili wanavimba hao utafikiri wanajua mpira wenyewe
Huu sasa ni uswahili, umeshindwa kujiongeza kutambua ni typing error?
Sure mkuu maana Liverpool hata ww anapataga tabu Sana kukufungaMkuu usidhani
Huo ndio uhalisia, Liverpool hana mpira wa kuifunga Barca
Jambo pekee linaloweza kuivusha Liverpool ni bahati
Wenye mpira wa kuifunga Barcelona ni Manchester United si ndio mkuuMkuu usidhani
Huo ndio uhalisia, Liverpool hana mpira wa kuifunga Barca
Jambo pekee linaloweza kuivusha Liverpool ni bahati
Mkuu usidhani
Huo ndio uhalisia, Liverpool hana mpira wa kuifunga Barca
Jambo pekee linaloweza kuivusha Liverpool ni bahati