IMG_5094.JPG



Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Hahahahaha tushatia timu apa..

Timu ya kukusanya Rambi rambi ijiandae..

Kamati ya mazishi itaundwa apo baadae ..

Vile vile maturubai yafungwe mapema na watu wa kuomboleza waandaliwe ..

Sisi kamati kutoa pole na kukaribisha wageni tupo tayari...

Hahahahahahababababahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahaaaaaaaa

asante Mbwehaaaaa

Sent using Jamii Forums mobile app
Usijali mkuu kwani maiti tutaisafirisha au hapahapa tunazikia ?

13SEPTEMBER
 
Napenda Leo man u avutwe Shati, ila naona kama atashinda ,sidhan tena atakubali kufungwa na wolves

Tusubiri muda ufike ,ila nafs inaniambia Leo wanashinda , game zao za kupigwa zipo mbele

'When you’ve been an Arsenal fan as a kid, you will be one your whole life in some way.” David Alaba
Mkuu hawa ni vilema timu viungo wehu ,beki wehu duh wauzieni TORREIRA maana hali si nzur kwao

13SEPTEMBER
 
Aisee hii team inabidi iuze wachezaji wengi sana hawana kiwango....... ole sio manager ila ni caretaker tutajuta kumwacha Pochettino .


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Si mlienda top 3 kabisa ,ukaja kule kwenye Uzi wetu kutupostia

'When you’ve been an Arsenal fan as a kid, you will be one your whole life in some way.” David Alaba
 
Back
Top Bottom