Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Duuh yani tumekuwa team ya ajabu.
Kutoka kuwa best team in england. Siku zinaenda aise ,yote haya sababu ni Poor management from owners.

Sent using simu mbovu
 
Mlimsifu sana ole
Kumbe alikua anataka mkataba tu
Mmeingia chaka hapo

kama ulipokea usisite kutoa tena
 
Manyumbu wamekaa nafac ya tatu kwa dk12 tu
tapatalk_1554239331357.jpeg

'When you’ve been an Arsenal fan as a kid, you will be one your whole life in some way.” David Alaba
 
Mkuu huqa sielewagi Wewe ni fan wa timu gani? Maana Liverpool akishinda kwako ni shangwe tu ..manure naye ivo ivo ..leo manure kapigwa kwaiyo utahamia liver adi mwisho wa msimu???

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahhaaaa huyo ni bendela fata upepo

'When you’ve been an Arsenal fan as a kid, you will be one your whole life in some way.” David Alaba
 
Wale mnaomtupia lawama OLe mtuambie kosa lake nini?

Sent using simu mbovu
 
Nina hasira sana juu ya hii timu siamini kama tumefikia hapa mamaeeeeeee .. man u nimegundua hatuna timu aisee wachezaji wa maana hawazidi watatu zingine taka taka tu za kucheza huko fulham..kila nikiichek city naona namna gani kuna big gap ya kikosi kwa sasa ..sijui hata wa kumlaumu
 
Ole Noma sijui nn uyo sasa kashaanza kupapaswa kijambio na wolves
 
Hahhaaaa huyo ni bendela fata upepo

'When you’ve been an Arsenal fan as a kid, you will be one your whole life in some way.” David Alaba
Hahahaha mzee baba huwa simuelewagi ni fan wa timu gani uyu memba mwenzetu ...au kwa ufupi yeye ataki stress kama sakina radika au Mc cane; yeye kwake ushindi ni shangwe tuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom