Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Ole Ole Ole Ole Manchester United suck, suck, suck, suck hii ni remix. Vijana wa zamani aka Wahenga mnajua huu wimbo.
Muda wa kutafuta kocha mpya unanukia mapemaaaa.
 
Mashabiki wa Man U hata kama hubet jisajili kwenye kampuni yoyote ile uipe Barcelona ushindi wa goli kuanzia 3 ili kupoza machungu.

Hivi tujiulize tu swali la kipumbavu.

Ni mchezaji gani pale Man U anaweza kupata namba ya kudumu kikosi chochote duniani isipokuwa DG.

Kama bado wachezaji wetu ni watoto acha kocha naye awe na akili za kitoto.
 
Hii ni mechi yangu ya mwisho kutazama msimu huu. Siwezi kujiumiza bila sababu.

Inakera sana wachezaji wa timu kubwa kama MUFC kucheza kwa uoga kiasi hiki. Hawajiamini hata kidogo.
Heeeheeee hata ya Barca utasusia?
 
Nadhani hii ndio kambi inayotufaa kwa leo AROON ,Ollachuga Oc

13SEPTEMBER
Hahahahaha tushatia timu apa..

Timu ya kukusanya Rambi rambi ijiandae..

Kamati ya mazishi itaundwa apo baadae ..

Vile vile maturubai yafungwe mapema na watu wa kuomboleza waandaliwe ..

Sisi kamati kutoa pole na kukaribisha wageni tupo tayari...

Hahahahahahababababahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahaaaaaaaa

asante Mbwehaaaaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom