Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Mnaenda kumpa timu muuza kayoga wa yombo vituka mnategemea nini
 
Mie suchukii kufungwa na Wolves ila timu kucheza vibaya. Angalia wao wanavyocheza utazania ndio wana tafuta goli lakusawazisha
 
Weekend tunarudi kwenye namba 6 yetu. And very possible Arsenal akatuacha kwa point 5, Chelsea point 2 na Spurs point 4, ambazo kwa wakati huu ni ngumu mno kuzikaba.
 
Hahaaa wamepigwa bhana

'When you’ve been an Arsenal fan as a kid, you will be one your whole life in some way.” David Alaba
 
Back
Top Bottom