Wild sniper
JF-Expert Member
- Apr 3, 2015
- 4,426
- 8,726
Sikuelewa unamtoaje lukawise unamwacha Lingard na alivyopwaya leo au ndo kisa mtoto wa malkia.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahahahaha hahahahahaha sasa mkuu mbona mapema ivi aise..Hii ni mechi yangu ya mwisho kutazama msimu huu. Siwezi kujiumiza bila sababu.
Inakera sana wachezaji wa timu kubwa kama MUFC kucheza kwa uoga kiasi hiki. Hawajiamini hata kidogo.
Hao mm nitawakaranga
Mkuu hukawii ushatia timu kuweka kambiHahahahahaha hahahahahaha sasa mkuu mbona mapema ivi aise..
Sisi fans wa man u tunatakiwa tuwe na roo ngumu bana...
Sent using Jamii Forums mobile app
unasemaTominay, Fred noma sana, nadhani Matic itabidi mechi na Barca akae nje awaachie hawa vijana.
Sent using Jamii Forums mobile app


Michezaji yote mibovu.
Hata Ethiopia Airlines ingewabeba tuanze moja.
Yanakera sana.
Hahaaa wana kiungo Fred wa paun mil 52 anachezaga utumbo tu ,Mkuu hawa ni vilema timu viungo wehu ,beki wehu duh wauzieni TORREIRA maana hali si nzur kwao
13SEPTEMBER
Unajua kuna baadhi ya wanawake kabla awajaolewa wanakuwaga wema sana ...sasa akishaolewa yani na ndoa kabisa ndo unaanza ona tabia zao ...Ole is overrated hamna kocha kabisa
Sent from my iPhone using JamiiForums
Ole hana lolote zaidi ya kunyenyekea Pogba. Tunaacha kuchukua kocha wa uhakika tunabeba huyu 'tyr again'Mkuu unatisha boss .Tuwaombee tuu Boss watabadilika ila huyu mwalimu wao hana experience
Sent using Jamii Forums mobile app
Wapeni hata Geundozi aise tunawapoteza hawaHahaaa wana kiungo Fred wa paun mil 52 anachezaga utumbo tu ,
'When you’ve been an Arsenal fan as a kid, you will be one your whole life in some way.” David Alaba
Hahaaa wolves sikuwa na wafatilia sanaWapeni hata Geundozi aise tunawapoteza hawa
13SEPTEMBER
Hakika mkuuHuyu mtoto ni wakuchukua haraka sana.
Namkubali sana.
HahahahahahahahababababahahahahaaaaaaaaaaaYoung is going to be younger again