sikongefdc
JF-Expert Member
- Oct 18, 2017
- 1,612
- 2,146
Auzwe kwao France. He is so lazy.Martial hana juhudi zozote za kuisaidia timu. Anaweza kuwa na kipaji ila juhudi hana. Sio mchezaji wa kutegemea.
Hata bench simuoni kama anafaa kukaa. Ila ajabu ndio mchezaji anayependwa sana na mashabiki pengine na timu yenyewe.
Game ya Barca pale mbele kati acheze Lukaku.Martial+Rashford+Lingard=Utoto
Tujipange aisee lasivyo tutapiga tu marktime
Tatizo sio Ole.Mkiambiwa timu yenu ni nyanya masaro mnakuja na Ole this, Ole that. Haya subirini kuishia nafasi ya 7.
Mbweha wametudisapoint sanaWolves wataku disappoint Mkuu,
Kushabikia timu ndogo huwa ni jambo gumu sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kweli dada etu ..red huwa aidanganyiMy red please endelea kunipa raha siku ya leo. Najua Red huwa haidanganyi
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa huyu ana msimuJose Felix Mourinho kwenye msimu wake wa kwanza alishinda kikombe, as you know football is all about trophies na sio kuruka ruka touch line
Sent using Jamii Forums mobile app
Walichanganyikiwa droo ya uefa imewavuruga kabisaaaa ..kuanzia kwa Ole mpk sub..hahahaha3/4 ya wachezaji wanacheza chini ya kiwango pogba martial lingard rashfird wote hawako vizuri
Sent using Jamii Forums mobile app
Baada ya hapo nini kilifuata..??Kikubwa tulichoweza ni ball possession ni kama 65/35 na kingine ni kufanikiwa kuwapa yellow card mabeki wao muhimu wawili.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hamna hata dalili ya kutafuta goli
Matic ndio anaonesha juhudi
Hatuna target man, tunammisi Rom
Sent using Jamii Forums mobile app
Izo 70 mmekwama izo 20 zingewasaidia niniWolV 1 man Utd 0
70 Min, tuna 20min!
renegade
Tulipo draw nao last week hizi manure zilichonga mnoo@Ollachuga Oc anawafahamu vizuri sana
Yeye ndio anaweza kuwaelezea vizuri
Sent using Jamii Forums mobile app
Aise chali angu saiv ni mwendo wa emoj za kucheja tu apaMashabiki msiondoke jamani kuna comeback hapa lazima Lukaku akinukishe tushinde 3