Cole Williams
JF-Expert Member
- Jun 1, 2016
- 35,319
- 201,540
Hata ukimwangalia leo alikuwa na ubishoo mwingi sana uwanjani bado timu ina safari ndefu sanaHii timu ina utoto mwingi mkuu, nadhani Nani alikuwa anacheza na wenye MUFC yao ndio maana alikuwa anapambana.
Tatizo lingine ni pale watakapompa Pogba unahodha, ndio wataharibu kila kitu maana hata Pogba ana utoto anatakiwa apate wa kumkemea.

