Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Et kajiangusha, hakusukumwa? Hebu acha unazi bhana,

Usitake kutegemea var , mbona kwa PSG mlipewa penalty ya utata kwa hiyo hiyo VAR,

Kipigo ni kipigo tu,

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu hujui kuwa VAR ndo straika mpya ya manure [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Bila VAR hakuna ushindi kabisaaa[emoji13][emoji13][emoji13][emoji13]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Usikurupuke ku comment kama ni mgeni humu, tafuta post yangu yoyote ambayo nimewahi kisifia hiki kikosi na kocha wao, ukiipata moderator wanipige ban sasa hivi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Aise walikuponda sana mze baba ..kuhusu Mourihno ulikuwa sawa kabisa..

Uyo Ole ni muamasishaji tu hana ukocha wowote ..

Mpeni timu ili tuendelee kufurahi..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lakin aliooteza ngapi? Huyu hajamaliza msimu so huwez mlingajisha na jose.

Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa mou na ole nan kocha mkuu ..achaga ubishi wa kijinga ..

Mou msimu wa kwanza kabeba vikombe vitatu ...msimu wa pili kawaacha nafasi ya pili kweny ligi, hadi sas mpo uefa ni kwa sababu yake..

Kaj uyo kahamasisha timu inashinda lakin sio kocha wa kumlinganisha na Mourihno aise..

Kama ni vip apewe mkataba ili msimu ujao tumuone..


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Game tulianza vizuri ila matokeo ndio haya tujipange kwa mchezo unaofuatia
Bora yako wewe uliona kilichoendelea,,,
Kipind cha pili mambo yaliharibika baada vijana kuanza kupoteana na kujikuta wanapoteza mipira ovyo na kuruhusu mashambulizi! Ni kosa LA kiufundi lililochangiwa na uzembe wa wachezaji

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Man utd lengo langu sio kuwatisha ila ni kuwapa tu taarifa mna game na Wolves kwenye ligi [emoji5] natamani kucheka ihihiiihiiii ila najibana [emoji846] aaaa uvumilivu unanishinda bhana

[emoji38][emoji38][emoji28][emoji28][emoji28][emoji38][emoji38]

Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi hujui na wewe una game nae? Na ilikuwa ichezwe jana sema ikafutwa kutokana na hii FA. Kumbuka mechi ya kwanza alikukalisha.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom