Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Tatizo sio Ole.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi msimamo wangu ni ule ule Bila kina Glazer na kundi lao la wahuni kuondoka Man u tutachelewa sana. Mwaka wa 5 huu umeingia bado Man U tunatafuta winga wa kulia, kila siku Tetesi tu, haji mtu mpaka Ole anamtumia Dalot kama Winga aibu hii. Hiyo ndio faida ya kumuweka mtu wa benki aongoze timu kama Man U.

Mtu kama Martial, Rashford, Lingard etc sio watu wa kuwa na namba ya uhakika, ni wachezaji ambao inabidi wawe na competition kwenye namba zao ili wajitume, una mtu kama Bale ana namba yake then martial ana compete nae, Timu yetu ukikaba tu kushoto na kumzuia Pogba kwisha kazi, waliobakia wanapiga piga tu pasi hazijulikani zinapokwenda.
 
Tulipo draw nao last week hizi manure zilichonga mnoo

Sasa wamepigwa K.O ya maana midomo kama imepigwa plasta vile ..vichwa chini

Liverpool alikaa kwa madogo apo ..hahaha narudia tena usijribu kumtukana mkubwa mwenzako..

Wakae wakijua kwamba kweny ligi sisi Mbweha bado tupo naoooo

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu unamaanisha Arsenane nae ni mkubwa?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi hujui na wewe una game nae? Na ilikuwa ichezwe jana sema ikafutwa kutokana na hii FA. Kumbuka mechi ya kwanza alikukalisha.

Sent using Jamii Forums mobile app
Alinikalisha wapi, mm nakumbuka tulidroo 1-1

Hiyo game ya pili namnyoa kama unabisha weka kumbukumbu hii comment, wale watoto hawana lolote zaid wanaziba sana mianya , sasa tutakachowafanya watajuta

Weka kumbukumbu hii comment yangu, Mara nyingi vitimu.kama hivi huwa kwetu havitusumbui, nakumbuka hata lei ya 2015 ilipiga wakubwa kwa arsenal ikaufyata, ni kutokana aina ya mpira tunaocheza

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom