Naona Man Utd wamegeuka Arsenal ya miaka ya nyuma pasi pasi pasi hadi golini. Mtuambia tik-tak football haileti ushindi sasa mmetuiga entertain football yetu, afadhali enzi zile tulikuwa tuna create chances kibao na kufunga magoli mengi kuliko mnayoyafunga sasa. Waiting RRONDO aje na Van gaal is useless real talk.
 
Last edited by a moderator:
Hawa wenyeji kina herrera wamekimbilia wapi? Mnasubiri mfunge goli la kindondokera ndio mrudi sio?
 
Last edited by a moderator:
Hii timu haina dalili zozote za ushindi, kushinda ni bahati na ni bao moja halizidi hapo au sare tena
 
W. Bromo wanajilinda zaidi mbele wameacha wawili tu ila kuna kitu unaona kabiza wanataka kukifanya kwa counter attack.
Lingaard amekosa goli la wazi yeye na kipa
 
Kazi ipo sijui ka kuna kufunga hapa hali tete van gal sijui anafundisha mpira wa aina gani mana sielew kabsa mpira mpaka unachosha kuangalia
 
Haaa 0-0?? Mimi nishachoka kuangalia hizi mechi maana unaweza kupasua screen!
 
Back
Top Bottom