Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Only West Brom (109) have attempted
fewer shots than ManUtd (110) in the
Premier League this season.

Hahahahaha waandikiaji chaki daftarini mmekutana.

Man Utd have lost just one of their last 13
Premier League games at Old Trafford,
but that defeat was against West Brom.

Angalieni msije kupigwa tena.
 
Natumia application ya JF ipo, kwa browser siipati

Kumbe hadi utumie apps ndio upate hiyo option? Ngoja nitadowload apps yao. By the way warekebishe ili tuipate katika browser pia.
 
Naona Man Utd wamegeuka Arsenal ya miaka ya nyuma pasi pasi pasi hadi golini. Mtuambia tik-tak football haileti ushindi sasa mmetuiga entertain football yetu, afadhali enzi zile tulikuwa tuna create chances kibao na kufunga magoli mengi kuliko mnayoyafunga sasa. Waiting RRONDO aje na Van gaal is useless real talk.
 
Last edited by a moderator:
Kuna kitu amefanya A. Young dk 32 sijakielewa, amekokota mpira halafu akautoa nje
 
Hawa wenyeji kina herrera wamekimbilia wapi? Mnasubiri mfunge goli la kindondokera ndio mrudi sio?
 
Last edited by a moderator:
Hii timu haina dalili zozote za ushindi, kushinda ni bahati na ni bao moja halizidi hapo au sare tena
 
WBA wangeanza na mrundi Berahino sasa hivi tungekuwa tunaimba wimbo mwingine.
 
W. Bromo wanajilinda zaidi mbele wameacha wawili tu ila kuna kitu unaona kabiza wanataka kukifanya kwa counter attack.
Lingaard amekosa goli la wazi yeye na kipa
 
Kazi ipo sijui ka kuna kufunga hapa hali tete van gal sijui anafundisha mpira wa aina gani mana sielew kabsa mpira mpaka unachosha kuangalia
 
Haaa 0-0?? Mimi nishachoka kuangalia hizi mechi maana unaweza kupasua screen!
 
Back
Top Bottom