Kila siku huwa nasema LVG is not a perfect coach for Man Utd lakini huwa naoneka kama mpuuzi na nisiyejua soka,ila siku zinavyokwenda wote mtakubali haya niyasemayo.

Siku hizi nikikosa gemu ya Mna Utd hata siumii moyo kama zamani coz najua hamna cha tofauti,timu inacheza kama timu ya Kwenye Ndondo cup.Siku hizi foward kuchezeshwa full back ni kawaiga central striker kuchezeshwa on the wings ni kawaida.Wachezaji wanaokosa magoli a wazi wao na goli kipa ndyo kila siku wapo on the starting eleven..still you want big results.....shame on you LVG

cc: Nzi

Mkuu tunakuelewa sana ila sasa ndo hivyo ndo wetu huyo kwasasa,tuepuke negative words tu tuitakie heri timu yetu pamoja na magumu yote inayopitia,tuombe Mungu tupate kocha sahihi,kikubwa LVG angekubali kushaurika makosa yake ni madogo tu ambayo akirekebisha timu inakaa pazuri,tuombe Mungu tu.....
 
Uefa cl uploadfromtaptalk1446724643577.png team of the week
 
Back
Top Bottom