Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Ebana huu mpira wenu utakuwa unawapa BP mnatokea hapa mkiwa na uhakika hamtausumbua mioyo yenu. 1 attempt on target at 43 minute

Hakuna tofauti ya timu ya Moyes na hii ya Van Gaal uwanjani...Bora Moyes hakuchezea hela za usajili kama Van.
 
Ebana huu mpira wenu utakuwa unawapa BP mnatokea hapa mkiwa na uhakika hamtausumbua mioyo yenu. 1 attempt on target at 43 minute

Lol

Bado tuna imani na timu yetu na "philosophy" ya kidachi

Ila hili suala la kuwa na possession kubwa linataka kuwa kama ARSENAL ya zamani
 
Duh ata update imekuwa ngumu au ndio philosophy ya LVG maana ata Old TRAFORD imekuwa kimya ingawa Man wanaongoza
 
Rooney kutoka na kuingia Herrera nadhani kocha amechelewa sana, rooney anavunja wenzake ari.
 
Van gaal asipoangaliwa vizuri atayafanya ya Morinyo hivi karibuni
 
GettyImages-496135710.jpg
 
Back
Top Bottom