OllaChuga Oc
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 21,933
- 25,245
Hahahaha Kwamba timu yenu ni timu gani..angalau mungewaiga mngepunguza idadi ya magoliMkuu acha kuidhalilisha timu yetu unataka tuwaige Arsenal ?
Hahahaha Kwamba timu yenu ni timu gani..angalau mungewaiga mngepunguza idadi ya magoliMkuu acha kuidhalilisha timu yetu unataka tuwaige Arsenal ?
Apo nilikosea kidogo nilipaswa kuandikaLeo kuna kilio hapa.
Man u 1-2Chelsea
Amini Kwamba...
#CFC![]()



Najua unaitafuta sana hii comment ili uifute, hii nimekuletea
Siifuti mkuu, game tumeshafungwa hakuna namna ya kubadilisha hilo.joseph1989 wahuni so watu wazuri kabisa Bruno anan'gaa against team ndogoBruno mzee wa pasi laini kakutana na wahuni......🤣🤣🤣
PTER Mourinho kapigwa nje ndani na Chelsea kwa mfumo Huu Huu utasemaje Chelsea imemuiga Southampton?Hata siku ile Southampton alituzidi kwa hiyo haikuwa mbinu ile ?
Kabsàa mkuuWewe jamaa bana,
Bruno Fernandes is nothing without Penalty mbona huelewi.
Hawa bila VAR hawatoboi, kwa style hii Leicester City anawafunga.Hawa Watu kama Bruno wao hajapewa Penalty huwa wanateseka sana uwanjani! Angalia leo wanavyopelekwa kwa Mparange.
Yaani unaacha kombe la kuchukua tu afu unakomaa na top four ambayo hata huna uhakika nayo, popote pa kutumia akili , usimtarajie Ole.Leo tumepigwa tunakubali lkn top 4 tunakufa na mtu jua liwake lisiwaje top 4 ndio mpango mzima.
Kwa hiyo mlijiandaa kumkaba yeye mkamsahau Kovacic na Jorginho, poleni sana★Kumbe hata kante hatakuwepo yani kikosi kilivyo kibovu kakosa tena mtu wa afadhari na bado wanatutambia mi sitasema sana tukutane saa 2 Usiku
Official: N'Golo Kanté will miss Sunday's FA Cup game between Man Untd and Chelsea, Lampard says. ★
manutd | View attachment 1511042
Tumezidiwa ki mbinu lakini na timu yetu ilikuwa na fatigue
Tunaingia top 4 ila hatuna timu ya kupambana UCL.Nadhani Ole kaweka nguvu kubwa top 4.
Huyo jamaa ni mtu mwingine ninyi jifarijini tuKabsàa mkuuView attachment 1511417
Maguire ni money laundering tulifanya.Hiki kipigo cha leo kusema ukweli ole amejitakia mwenyewe...halafu huyu Magwaya mbona kama tumepigwa wazee?
Ndugu, goli la Mount nakubali Degea katoa zawadi lakini goli la kujifunga la Maguire, kasi ile na krosi ya Alonso beki yeyote angejifungaGame Plan Mbovu
Timu Selection Mbovu
Formation Mbovu
Lawama ziende kwa kocha, DeGea na Maguire.
Sijaona goli la kuzidiwa ujanja. Yote ni uzembe.
Huu msiba ni wa wamasai nini, mbona msiba na maiti imekimbiwa kuna wageni tu
Mkuu kama mpira utachezeshwa fair kama alichofanya refa wa jana wewe hauna uwezo wa kunifunga mimi! Mara zote uliponifunga wewe pamoja na jamaa zako mnakuja jukwaani kusumbua na siyo huko tu Whatsapp, Instagram na Twitter huwa kunachafuka. Mtaani ndio hatuna amani ni kejeli na matusi wiki nzima.Mkuu tumekupiga mara 3 msimu huu, mbona hakukuwa na hizo pollution??
Hadi sasa kwa msimu huu Man United 3-1 Chelsea.