Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Nasikia pamoja na yeye kuja January na kucheza nafasi ya kiungo lakini kamzidi magoli box to box, Brazilian ginger pressing striker boby Firminho (kwa Uingereza)

Magoli ya Ureno hatujayahesabu
Wewe jamaa bana,
Bruno Fernandes is nothing without Penalty mbona huelewi.
 
Leo tumecheza chini ya kiwango sana, wachezaji hawakuwa na siku nzuri kazini basi itoshe kusema #GGMU
 
Timu yetu ilikuwa na fatigue kubwa sana kibaya zaidi siku hizi kwenye defence toka lockdown naona Lindelof yuko vizuri zaidi kuliko wengine.

Mistakes mbili za Brandon na Fred zimetucost sana kufungwa na chelsea.

Lampard katumia mbinu ile ile aliyotumia kocha wa Southampton katuadhibu.
 
Acha tulale na goli pendwa la kaputeni..
tapatalk_1595185845043.gif
 
Timu yetu ilikuwa na fatigue kubwa sana kibaya zaidi siku hizi kwenye defence toka lockdown naona Lindelof yuko vizuri zaidi kuliko wengine.

Mistakes mbili za Brandon na Fred zimetucost sana kufungwa na chelsea.

Lampard katumia mbinu ile ile aliyotumia kocha wa Southampton katuadhibu.
mmezidiwa tu, hakuna cha mbinu yz Southampton au nini. Goli la kwanza nafasi ilitengenezwa na Giroud akamalizia superb, goli la pili kipa wenu kabet nasi na goli la tatu Maguire kabeti nasi
 
Hata siku ile Southampton alituzidi kwa hiyo haikuwa mbinu ile ?
 
Timu yetu ilikuwa na fatigue kubwa sana kibaya zaidi siku hizi kwenye defence toka lockdown naona Lindelof yuko vizuri zaidi kuliko wengine.

Mistakes mbili za Brandon na Fred zimetucost sana kufungwa na chelsea.

Lampard katumia mbinu ile ile aliyotumia kocha wa Southampton katuadhibu.
Kubali kuzidiwa uwezo, na huo ndio uungwana kwenye soka
 
Kuna bweha flani alikuwa anasumbua sana majukwaa ya watu sahivi naona ameufyata
Mzee wa takataka upo wapi mzee baba.
 
Back
Top Bottom