Ila wazee mmeniangusha. Hata hivyo niwatakie kila la kheri na battle la top four si ngoja tuhangaike na hawa wazee wa tatu tatu.Mimi nimeongea kwa vigezo na nikakutajia, United hawajapaki basi, tumegawana vipindi na Chelsea, wao wamecheza kipindi cha kwanza, sisi tumecheza kipindi cha 2
Kikosi chetu cha kwanza ni bora sana, kikicheza chote kwa kuanza na kumaliza hata mechi ya leo tungeshinda bila kutumia nguvu nyingi
OGS kajaribu ku manage injury na fatigue ya wachezaji kutokana na mbio za top 4, na haya ndio matokeo yaliyopatikana
Bado CV ya Arsenal na Spurs ya Mourinho hamuachani![]()
