Kesho nataka nije hapa nisome Comments tu za Washabiki wa hii Timu halafu nizilinganishe na zile comments za tangu iliporejea Ligi baada ya Corona mpaka kufikia Jana.



sidhani kama watarudi labda mpk jumanneKaa kwa kutulia 😂Uwiiiiiiiiiiii
Yamekuwa hayo??
Njoo chemba basi mama??
Utakuwa mteja wa blues wewe![]()
DahKaa kwa kutulia![]()


Keshapewa tayari. Yani swala la penalty ni la muda tu kwa hawa jamaaHawa Watu kama Bruno wao hajapewa Penalty huwa wanateseka sana uwanjani! Angalia leo wanavyopelekwa kwa Mparange.
Anamfananisha Maguire na VVD!Kuna Ndoroba mmoja humu huwa anasubiri VVD afanye kosa ndiyo anakuja kuharisha kwenye Uzi wa Liverpool, Sasa namsubiri hapa aharishe kwa Maguire na De Gea.


