OllaChuga Oc
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 21,933
- 25,245
HahahahahahahahaKalala na viatu huyo mzee baba,Chelsea leo kawaletea show ya "Jikaze My tunamaliza sasa hivi tu", paka bao 3 zote zikaisha![]()
HahahahahahahahaKalala na viatu huyo mzee baba,Chelsea leo kawaletea show ya "Jikaze My tunamaliza sasa hivi tu", paka bao 3 zote zikaisha![]()
Kiungo kashata Bruno ametupia mapenati mangapi hapo ....!!!!?
Na assist nazo ni penalty?Wewe jamaa bana,
Bruno Fernandes is nothing without Penalty mbona huelewi.
Najua unaitafuta sana hii comment ili uifute, hii nimekuleteaNjia nyeupe jamani, tukishajipigia Chelshit tukaongee kikubwa na Arsenane zile goli mbili walitufungaje eti? Nina uhakika tutapata majibu yakueleweka![]()
Vip mlienda na huo mfumoLeo napenda twende na 3-4-1-2
Beki; Maguire,Linderlof,Bailly
Katikati; Brandon
williams,Matic,Pogba,Bissaka
Juu--Bruno Fernandez
Mbele-- Martial na rashford
Hii itatufanya tuwe very compact while our attacking force ikapiga kazi vilevile.




Mambo ya kuongea uku unanuka mdomo matokeo yake ndo hayo HahahahaLeo tunaenda piga Masai cheltako so chini ya goli mbili GGMU