Katoka kaingia yule mchezaji wenu shogaLeo tutapata tabu sana aisee dani james anatafuta nn humu ndani?






Vp ubao umepindukaLeo tunaenda piga Masai cheltako so chini ya goli mbili GGMU
Kuna team ukicheza unaweza kudefend siyo takataka Cheltako eti tukakabe wao ndio watukabe ssi wadefend![]()
Leo vipi? 😆Martial 2-0
Hureeeess
Nendeni mkajifariji na nafasi ya 4Kwannn pogba yupo njeee na martial ??
Yani sojer ni kocha pumbavu saaaana.
Daniel james na fred wanini humu?
Arsenal ipi? Ya sebuleni kwako?De Gea apewe likizo, fatigue, amefululiza mno. Hili kombe lilikuwa la kuchukua tu kwa Arsenal. Ndiyo basi tena
Ya ArtetaArsenal ipi? Ya sebuleni kwako?
Mhhh yani umeona uje unichokonoe leo sioLeo vipi?![]()

Leo tutapata tabu sana aisee dani james anatafuta nn humu ndani?
3-0 bila mamaMhhh yani umeona uje unichokonoe leo sio
Kwa hiyo mwenzangu wewe ni wa upande upi??