mart66
JF-Expert Member
- Nov 7, 2018
- 610
- 691
kufungwa ni kufungwa tu hakuna shabiki anaependa kufungwa★Kuna watu wanasumbuliwa na matatizo ya akili mi nawaona tu ushindi wa leo wamechachamaa ka konda alonyimwa nauli,tulikuwa tunawapiga 4 kavu leo wao 1-3 lakini kelele zake sasa★
★
