




Jones anaumiaga kwenye mazoez tu? Haha★Kumbe hata kante hatakuwepo yani kikosi kilivyo kibovu kakosa tena mtu wa afadhari na bado wanatutambia mi sitasema sana tukutane saa 2 Usiku
Official: N'Golo Kanté will miss Sunday's FA Cup game between Man Untd and Chelsea, Lampard says. ★
manutd | View attachment 1511042
Jones anaumiaga kwenye mazoez tu? Haha
★
Jones anaumiaga kwenye mazoez tu? Haha
Yule jamaa huwa sijui anaumia vipi maana toka mechi ya Shefield mpaka sasa hajacheza huwa anaumiaje ?Jones anaumiaga kwenye mazoez tu? Haha
Anatakiwa awekwe sokoni.★Jamaa mi nazani huwa anavuta Bangi haiwezekani kwenye mazoezi unatumia Nguvu kiasi hicho mpaka unapata majeraha yakukaa nje nusu msimu★
kuwa anakwepa kupigwa mnada
★
Anatakiwa awekwe sokoni.
Nawatakia mafanikio Spurs na kocha wetu wa zamani Mourinho. Piga hao jamaa tupo nyuma yenu.
Hahahaha, haya mambo huwa siyaamini.Mara ya mwisho (kabla ya mwaka huu) Leeds United kupanda daraja kwenda ligi kuu, ndio mwaka Liverpool aliyoshinda kombe la Ligi kuu (first division)
Pia ndio mwaka United aliochukua kombe la FA![]()
Leo tunacheza mechi 2, moja saa 12bna nyingine saa 2 usiku![]()
Nilitaka kushangaa, kwa jinsi tulivyomtetea humu JF kipindi kile yupo Man u, halafu leo atuangushe.Naona Man Utd anapanda nafasi ya 4 bila hajacheza![]()