msomi uchwara
JF-Expert Member
- Oct 17, 2017
- 4,696
- 8,821
Hiki kipigo cha leo kusema ukweli ole amejitakia mwenyewe...halafu huyu Magwaya mbona kama tumepigwa wazee?
Jitahidi mechi inayokuja ushinde magoli mengi kwa maana pale king power hamtotoboaLeo tumepigwa tunakubali lkn top 4 tunakufa na mtu jua liwake lisiwaje top 4 ndio mpango mzima.
Baada ya kutobolewa ndo unaongea hivyoIsingekuwa poa tuwapige mara zote 4 kwa msimu, hata Aston Villa hawezi kukunali., so ilikuwa lazima tuache Chelsea ashinde kumlindia heshima.
Target yetu sisi ni top 3.
West Ham anatafuta point moja ajihakikishie kutokushuka daraja,haitokuwa shughuli ndogo.Jitahidi mechi inayokuja ushinde magoli mengi kwa maana pale king power hamtotoboa
The captain himselfHiki kipigo cha leo kusema ukweli ole amejitakia mwenyewe...halafu huyu Magwaya mbona kama tumepigwa wazee?


Kwa keicester hamtoki labda fernandez apewe penati za kutoshaLeo tumepigwa tunakubali lkn top 4 tunakufa na mtu jua liwake lisiwaje top 4 ndio mpango mzima.
Wameionyesha ni 205 s5Dstv yangu sioni hii mechi. Ni channel gani ya Dstv? Au hawaonyeshi FA hawa?


Sio mbaya, najua 0GS target yake ni top 3, ndio maana alianza na weak side.
Nina imani na OGS, he is a brilliant coach among all ukiwatoa PG na Klopp.






Kwa hiki kikosi na namna mpira unachezwa nahisi Ole amefocus na kutafuta top 3 kuliko hii mechi na FA kwa ujumla.
Mc cane hahaha best team kwa kupaki basi nilikuambia ni ipi?