Bavaria
JF-Expert Member
- Jun 14, 2011
- 53,092
- 53,568
Hapo hakuna wa kumcheka mwenzake
Hapo hakuna wa kumcheka mwenzake













FatigueGame Plan Mbovu
Timu Selection Mbovu
Formation Mbovu
Lawama ziende kwa kocha, DeGea na Maguire.
Sijaona goli la kuzidiwa ujanja. Yote ni uzembe.
Sisi mashabiki wa manyu tunaruhusiwa kuamuka sasaiv? Au bado![]()
This is one of the worst excuses of Man Utd fan. Kwa sisi tumechezesha kikosi chenyewe mkuu? Mkuu kubali tu nimekuzidi ubora mbali sanaMimi nimeongea kwa vigezo na nikakutajia, United hawajapaki basi, tumegawana vipindi na Chelsea, wao wamecheza kipindi cha kwanza, sisi tumecheza kipindi cha 2
Kikosi chetu cha kwanza ni bora sana, kikicheza chote kwa kuanza na kumaliza hata mechi ya leo tungeshinda bila kutumia nguvu nyingi
OGS kajaribu ku manage injury na fatigue ya wachezaji kutokana na mbio za top 4, na haya ndio matokeo yaliyopatikana
Bado CV ya Arsenal na Spurs ya Mourinho hamuachani![]()


Kumbe bwana alisahau kuvua viatu.
Fernades bado hajaamka subiri kidogo
Mwanamichezo hujambo???Leo vipi? 😆
Ule ni uzembe.Ndugu, goli la Mount nakubali Degea katoa zawadi lakini goli la kujifunga la Maguire, kasi ile na krosi ya Alonso beki yeyote angejifunga
Goli la kwanza la Giroud ni Master class, iliminywa kwa haraka bila ya Maguire kushtuka kinachotokea
Tunaingia top 4 ila hatuna timu ya kupambana UCL.
Tunaenda kutia aibu tena.
Sasa msichokijua ni kwamba FA Cup ina mpunga mkubwa kuliko la Ligi.
Mourinho tulishamfukuza kazi bro mfuate huko aliko.Kuna mambo yanashangaza sana, kikosi kilichokuwa na akina Phil Jones, Valencia, Ashly Young na Lingard mlitaka kichukue UEFA chini ya Mourinho, ila baada ya sajili kubwa zote , mnapigania kuingia nne bora huku wale pundits uchwara wakiwa wamefunga midomo. Unafiki ni kitu kibaya sana.
Kwa hiyo chelsea wao ni marobot hawachoki? Au utd wanacheza ligi zaidi ya mojaFatigue


This is one of the worst excuses of Man Utd fan. Kwa sisi tumechezesha kikosi chenyewe mkuu? Mkuu kubali tu nimekuzidi ubora mbali sana
It is between us, Chelsea and Leicester for those last two positions, the more help we get from others the better, of course, but we know we must do our job on Wednesday.
Kati ya epl na FA kombe lip linampunga? Panga kwanzia UEFA na kushuka ukijumlisha supercup, club bingwa..Hapa ulitaka kumanisha kombe la ligi gani? EPL?
Kwa EPL haifiki hata 10%.
Jose Mourinho stated that David de Gea was 'lucky' to be handed a mega-money contract by Manchester United in September last year and it seems that the Tottenham boss was on the money
Kati ya epl na FA kombe lip linampunga? Panga kwanzia UEFA na kushuka ukijumlisha supercup, club bingwa..
Mkuu huoni vurugu hizi mnazoleta huku?? Jamaa yako mzee wa kujipiga BAN Ollachuga Oc kaweka kambi hapa.Mkuu kama mpira utachezeshwa fair kama alichofanya refa wa jana wewe hauna uwezo wa kunifunga mimi! Mara zote uliponifunga wewe pamoja na jamaa zako mnakuja jukwaani kusumbua na siyo huko tu Whatsapp, Instagram na Twitter huwa kunachafuka. Mtaani ndio hatuna amani ni kejeli na matusi wiki nzima.
Lakini sisi tumeshinda huu utani hauta chukua zaidi ya siku mbili tunawaza mbele.