Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Mkuu PSG mbele wana Neymar, Mbappe, Icardi

Midfield yao wana Ander Herrera, mzee wa tackles Msenegali Idrissa Gueye, fundi wa pasi Leandro Daniel Paredes, Fundi wa kitaliano Marco Veratti, fundi wa Kihispaniola Pablo Sarabia


Beki wana fullbacks za Ukweli Bernat na Kurzawa, center half fundi wa kibrazil Thiago Silva

Sasa hapo wamuongeze na Koullibally kwenye kikosi ! kwa nini wabahili kama Bayern, LFC, Arsenal, England United wasiisome namba?

Sent using Jamii Forums mobile app
Mtoe LFC hapo,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tranmere bana yaani Goli 6 bado wapo wapo kama ndio game inananza pamoja na mashabiki wao nimeipenda spirit hiyo.


Huko katimu ka Astana kanafurahia kuifunga Man U naamini wametengeza Frem yenye matokeo na kuweka Makumbusho.





Manchester united bana Thank You Sir Alex Ferguson.

Ila huyu Viking wa Norway Ovyo
 
Nahisi ni viking fake tu,Viking original ni Ragnar
Tranmere bana yaani Goli 6 bado wapo wapo kama ndio game inananza pamoja na mashabiki wao nimeipenda spirit hiyo.


Huko katimu ka Astana kanafurahia kuifunga Man U naamini wametengeza Frem yenye matokeo na kuweka Makumbusho.





Manchester united bana Thank You Sir Alex Ferguson.

Ila huyu Viking wa Norway Ovyo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Glazers family hawana tatizo...ila tatizo lipo kwa ed woodward..huyu ndo anapaswa kuondoka, mbona enzi zile mwenzie David Gilly alifanya kazi nzuri tu na grazers family
Sasa mkuu aliyemwajiri ed ni nani? Tena inawezekana ed ndio hana tatizo.

Maana hadi sasa glazers familly wanaona anafanya kazi nzuri ndio maana yupo hadi sasa.

Sent using simu mbovu
 
Eti wanasema sababu ni katimu ka mchangani, sasa nikashangaa wangetufunga hako katimu kama wao wangetucheka kweli kweli,eti nyie tu ndo leo hamjafungwa......!!

Glory Glory Manchester United!!! ..... hongereni wadau kwa ushindi,mwanzo mzuri
Wapi mkuu huonekani humu siku hizi...njoo basi mmeshinda leo
 
Glazers family hawana tatizo...ila tatizo lipo kwa ed woodward..huyu ndo anapaswa kuondoka, mbona enzi zile mwenzie David Gilly alifanya kazi nzuri tu na grazers family
mkuu usajili wa mwisho wa man u wa maana ni kipindi kile cha kina rooney, ronaldo, tevez etc toka glazer atanue umiliki wake man U tukaanza kusajili kina Valencia, Butner, etc hii ni list ya wachezaji 20 wa mwisho ambao ferguson aliwasajili

1.zoran tosic
2.angelo Henriques
3.rodrigo possebon
4. mame diof
5.bebe
6.nick powel
7. de laet
8.zaha
9. obertan
10. Buttner
11. lindergaard
12. kagawa
13.young
14. jones
15. smalling
16.valencia
17. berbatov
18. hernandez
19. rvp
20. de gea

ukimtoa rvp, degea, berbatov na kagawa waliobakia wote ni wachezaji wa mafungu ambao fergie kwa ujuzi wake aliwafanya wawe vizuri.

usisahau mkuu tulikaa bila midfielder mpaka tukamrudisha scholes toka kwenye kustaafu,

woodward ni sura ya Glazer, kama hufahamu kipindi Glazer wanakopa kuja kuinunua man Utd bank nyingi ziliwatolea nje ila Woodward ndio akafanikisha "koneksheni"zake zikawapa mkopo na kuinunua timu.

na tangu wameinunua timu hawajatoa hata senti tano usajili wote ni hela za club na wanachota hela nyingi kulipa madeni yao kuliko ku improve club.
 
Back
Top Bottom