Introver
JF-Expert Member
- Apr 6, 2019
- 565
- 656

Naomba niwakumbushe wanaodhan man u Leo anashinda kirahis ,na wamebeti , huo uwanja anaoutembelea man u Leo ni sawa na manungu turiani wa mtibwa , Watford kalambwa hapo hapo wanabak wanalalamika ,uwanja ni mbovu , wenyeji wanaujulia , hivo natoa angalizo mapema,View attachment 1335554
Itakuwa FA nao wameishaanza kutudharau.HUU UWANJA BALAA BORA MANUNGU...FA WANARUHUSU VIPI UWANJA WA AINA HII KUCHEZEWA MECHI YA KIMASHINDANO..
Sent using Jamii Forums mobile app
😂😂😂😂😂😂😂
Waoooh, kumbe leo Lingardinho anacheza beki, nimekosa uhondo.