Kipindi cha kwanza Totts wamekamatika sana, ni mara chache sana Spurs anamaliza dakika 45 bila shuti lililolenga lango (zero shot on target).
 
Mou ni muongo sio kidogo,ingekuwa kipindi chake possession ingekuwa 81% kwa 19% za kwetu. Shots on target tungekuwa na 0 na off target ingekuwa 1. Kwa sasa ni kinyume kabisa. Halafu angekuwa anamtaka Toby ili kupata matokeo.
Asante solskjaer,
GGMU.
Come on reds!!
 
Rashfooord
1547400296029.gif


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom