Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Haina maana kulalamikia kila jambo, ni kweli timu inazingua especially hierarchy na kocha, lakini haimaanishi kila kitu kisimame

Kuna watu huwa ninawaambiaga ikifika hatua naogopa hata kuangalia mechi yangu, ni bora niache ushabiki wa mpira. Tu mashabiki kwa ajili ya enjoyment, kama hamna enjoyment kwanini niendelee kushabikia mpira

Nikiwa shabiki nipo OT uniambie nitoke nje ya Uwanja ili kutuma ujumbe kwa Glazers & Co. nitakuelewa, sasa unaniambie niache kuongelea kinachoendelea kuhusu United what for? Will it help?

nimependa ushauri wako. Timu inapita katika nyakati ngumu ni muda wa mashabiki kufarijiana, na sio kutakana na kukandia timu.

Ukisema utukane kuanzia wachezaji, kocha, mgt yote itasaidia nini sasa?

Kuna siku flani mwaka juzi nilikuwa bar flani naangalia mechi ya ARSENAL NA LIVERPOOL.

Kukazuka ugomvi baina ya mashabiki wa ARSENAL na LIVERPOOL. Kuna mzee wa umri kama miaka 60's akawa anasema

Sasa nyie mnataka kupigana na kuuana hapa wakati timu yako unayoishabikia ipo uingereza wala hawakufahamu, na hata ukifa hapa timu haiwezi kukupa msaada.

Si bora ukagombane kule uwanja wa taifa kwenye mechi ya SIMBA na YANGA, hata ukiumia management na wachezaji wanaweza kusema huyu mzee tulimuona jukwaani anapambania timu yake wakakupa pole.

Haya basi uaneni hapa tuone kama hiyo Liverpol na Arsenal itakuja kukupa msaada.

Sent using Cash Money Wings

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Exactly

Pamoja na ubovu wa Ole, akipata wachezaji wazuri timu ita improve kiuchezaji na tunaweza kuingia top 4

Na tukiwa top 4 tunakuwa na uwezo wa ku attract top manager na top players

Sasa kuna watu wengine wanaongea kana kwamba timu isiwepo na ipotee kwenye uso wa Dunia
Lazima tukubali kuwa;

✓Uongozi na makocha wametufikisha hapa kwa kuwa hakukuwepo na plan za kueleweka..Tumeishia kusajili sajili hovyo tu

✓Uwezo wa Ole ni mdogo na ukiongeza na wachezaji waliopo United kwa sasa basi ndo balaa tupu..Kikosi tulichonacho ni matokeo ya kazi ya bodi na kocha..

-Lukaku kaondoka,no replacement
-No proper Right winger for Years now
-Smalling kaenda on loan huku Jones akiendelea kutamba


✓Tunachotakiwa kuelewa ni kuwa hamna kocha anayejielewa ambaye atakiamini hiki kikosi tilichonacho kwa sasa..Lazima tu atataka wachezaji..Let's keep Ole's problems aside

✓Kutokumsajili Bruno Fernandez pia sio suluhisho la matatizo yetu..ni bora aje tupambane tuingie hata Top four,Summer transfer tuweze kuattract hata wachezaji wazuri kiasi..Otherwise watu waanze tu kampeni za Ole out

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Paulo Dybala admits he was close to leaving Juventus in the summer amid interest from Manchester United and Tottenham.

Chanzo:Sky Sports
IMG_20200126_143445_288.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ole Gunnar Solskjaer has called for patience as he looks to rebuild his squad and believes rivals Liverpool are an example to follow.
#Chanzo: Sky Sports

"Tuwe wapole ndugu zangu,hiki nikipindi cha mpito tu"
IMG_20200126_143219_104.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naomba niwakumbushe wanaodhan man u Leo anashinda kirahis ,na wamebeti , huo uwanja anaoutembelea man u Leo ni sawa na manungu turiani wa mtibwa , Watford kalambwa hapo hapo wanabak wanalalamika ,uwanja ni mbovu , wenyeji wanaujulia , hivo natoa angalizo mapema,
IMG_20200126_164402.jpeg
 
Back
Top Bottom