Upepo wa Pesa
JF-Expert Member
- Aug 8, 2015
- 21,786
- 35,759
Leo sijajutia bando langu, limeisha kiu halali...VALUE FOR MONEY!!!
Mara ya mwisho ilikuwa 2013 kufunga goli 5 kama sikosei5
5
5
5
5
5
Toka sir alex asepe
Leo nnafuraha sana
Ggmu
Chief hii timu ilitutia hasara sana[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] Tumechezewa sana, tumeliwa sana.
Huwezi hamini baada ya refa kumaliza mpira raia wamegoma kutoka wakitaka mpira uendeleeNatamani kesho tucheze tena.
Hii Cardiff nakumbuka miaka michache iliyopita OG aliichukua kwa mikwara kilichofuata walijikuta championship na kibarua kikaota nyasi.Ila OG bado hajapata kipimo sahihi kwa timu yenye mafundi na makocha wenye mbinu za ukweli...nasubiri kwanza ndio nije nimwagie sifa za namna mbili, nzuri au mbaya baada ya mechi kadhaa tena ngumu na za ugenini.
[emoji3][emoji3][emoji3]Huwezi hamini baada ya refa kumaliza mpira raia wamegoma kutoka wakitaka mpira uendelee
Wachezaj walikuwepo?Hii Cardiff nakumbuka miaka michache iliyopita OG aliichukua kwa mikwara kilichofuata walijikuta championship na kibarua kikaota nyasi.
Hawakuwepo.Wachezaj walikuwepo?