Upepo wa Pesa
JF-Expert Member
- Aug 8, 2015
- 21,786
- 35,747
Umesahau tulikuwa tunapata wakati mgumu mechi za Brighton, Burnley n.k ... Yaani vitimu vya average performanceIla OG bado hajapata kipimo sahihi kwa timu yenye mafundi na makocha wenye mbinu za ukweli...nasubiri kwanza ndio nije nimwagie sifa za namna mbili, nzuri au mbaya baada ya mechi kadhaa tena ngumu na za ugenini.
Wakati nakumbuka Martial aliwalaza na viatu Liver game yake ya kwanza tu, huyo Mata alipiga acrobatic kiufupi waliteseka kipind cha Van Gaal. Eti Mou anakuja kupiga bench dah bora amesepa.Tuache utani Mourinho alikuwa anatutania aisee...
Mata,Pogba,Martial benched Vs liverpool??..huu ni zaidi ya utani
Hamna mtu ana guarantee ya kesho, acha tutumie tulicho nacho leo!! tumeshinda, tumecheza mchezo swaaafi kabisa....ACHA TUFURAHI SHEHEE!! Mambo ya kesho tutayajua kesho ikifika!!!Hata Mou naye alianza hiv hiv! Badaye midomo ikainuka. Eken akiba ya maneno
Tuache utani Mourinho alikuwa anatutania aisee...
Mata,Pogba,Martial benched Vs liverpool??..huu ni zaidi ya utani

Inabidi apewe ukepteni ili kukuza morale yake!! japo kwa hali ilivyo anaweza asipewe...LEO KAWA MAN OF THE MATCH!Wadau hivi Pogba ndio alikuwa captain leo?
Kweli kabisa mkuu... nangoja nione akianza atakuaje akianza!! leo wachezaji walikua na furaha kweli kweli!!Hahahaha mourinho alishindwa kumtumia aiseee hata fred muda aliocheza ni mfup lakin alikuwa safi
Captain anatakiwa kuwa de gea au smalling au valencia tuwatendee heshima vitu kama hivi vimemfelisha mourinhoInabidi apewe ukepteni ili kukuza morale yake!! japo kwa hali ilivyo anaweza asipewe...LEO KAWA MAN OF THE MATCH!
Safi sana OG, kocha avae hata suti siyo muda wote Mourinho yuko kwenye manguo ya ajabu kama mkazi wa Goma.Hamna mtu ana guarantee ya kesho, acha tutumie tulicho nacho leo!! tumeshinda, tumecheza mchezo swaaafi kabisa....ACHA TUFURAHI SHEHEE!! Mambo ya kesho tutayajua kesho ikifika!!!
![]()
Wadau hivi Pogba ndio alikuwa captain leo?
Kauli kama hizi hata mchezaji akisikia anapata moyo wa kucheza... zile za mou hazikua poa kabisa!!Ole Gunnar Solskjaer: "It's a great dressing room. Footballers want to give the best for the club. They've got the Manchester United badge on their shirts and there's a reason for that, because they're quality players." #MUFC
Kweli mkuu.Kauli kama hizi hata mchezaji akisikia anapata moyo wa kucheza... zile za mou hazikua poa kabisa!!
Eeenh mwenzangu wanasema ukipata furahi ukikosa kijutie..... mwenyewe am happy kwa kweli na ukizingatia leo tutimu twote twa mchangani tumetoa watu wazima kamasi aiiii najiona tuna point 70 na ukizingatia tumetoka kwenye msiba aaaàh tufurahi tu!!! Hapo karibu uko na kakinywaji gani tugonge chiaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaz!!!! Nko,nko,nko ,nko!!!Hamna mtu ana guarantee ya kesho, acha tutumie tulicho nacho leo!! tumeshinda, tumecheza mchezo swaaafi kabisa....ACHA TUFURAHI SHEHEE!! Mambo ya kesho tutayajua kesho ikifika!!!
![]()
Hapo ndipo palipomfukuzisha kaziTuache utani Mourinho alikuwa anatutania aisee...
Mata,Pogba,Martial benched Vs liverpool??..huu ni zaidi ya utani