Johnny Sins
JF-Expert Member
- Nov 4, 2019
- 2,536
- 3,883
Basi wamefanana sana
Kuna uwezekano Rooney akarejea Tena OT
Jesus christ
ed woodward anakupa nafasi mpaka dakika ya mwisho..... safari ya ole huenda itaishia ukingoni endapo atapoteza tiketi yake adhimu kwa kushindwa:Jamaa anasukuma sukuma siku zake pale United kabla hajafungashiwa virago
Sent using Jamii Forums mobile app
Jamaa anasukuma sukuma siku zake pale United kabla hajafungashiwa virago
Sent using Jamii Forums mobile app
Man U kafutiwa ubingwa wa 1999?
Hahahaha Ole anafurahisha kina Martial wamemshinda ataweza Sanchez mzee huyo.
Labda wanaota watauza jezi zaidi ahhhhHahahaha Ole anafurahisha kina Martial wamemshinda ataweza Sanchez mzee huyo.
Sent using Jamii Forums mobile app