Makato ya Mshahara kwa Daktari mpya Serikalini, bado tuna safari ndefu sana

Kuwa serikalini harufungwi kutafuta fursa zingine nje ya kazi yako, kikubwa ishughulishe akili ili uwe na vyanzo vingi vya mapato Kwakutegemea mshahara na hizi familia za kiafrica utaona Kama pesa yako wananyaga wanyaguzi na kuishia Madeni tu
 
Utumishi Raha asikwambie mtu!!!
Utumishi una Raha gani?

Kuna wengine tupo kazini kwasababu tulikosa wakutupa mtaji tuuu

Ndio hivyo Mungu alitupa wazazi wafanyabiashara ila akawachukua mapema kabla hawajatuinua.

Ila laiti wangekuwa hai, TUSINGEFANYA KAZI YA MTU YOYOTE.

#YNWA
 
Ukiwa serikalini bila kuiba HUTOBOI.

#YNWA
 
Uliyo andika haya sio lazima ni bahati nasibu, unaweza kupitisha miezi miwili usiingize chochoteeee

#YNWA
 
Aisee.
 
acha kazi, wapo wanaolilia wapate ajira ya kulipwa hata 50,000 na hawaipati
 
Bora ninyi. Tukileta zetu wafamasia na wauguzi utatuonea huruma.
 
ulitaka ukwepe nini hapo, usirudishe mkopo wa bodi? Huo mshahara bado ni mkubwa fanya kazi acha tamaa.
 
Na sisi tunaolipwa laki tatu kwa mwezi tusemaje?

Tanzania issue siyo madaktari, Watanzania wote tunaishi kama mateka, tatizo ni Ccm.

Hapo kuna mtu kaishia la saba ana chukuwa take home million 14 kwa mwezi kwa kazi ya kugonga meza tu bungeni.
unataka uongozwe na chama gani, wale CHADOMO ambao wameshindwa hata kujenga ofisi?
 
Ajira ni utumwa.Ndio maana mnaitwa watumishi
utumishi siyo utumwa we bwege, km umeshindwa kupata ajira kwa upumbavu wako wa kushindwa shule usitiletee upuuzi wako. Neno utumishi linatumika dunia nzima na lina maana yake shida mjinga km wewe uliyekimbia shule utaelewa?
 
Kwa maisha ya Mtanzania!
Kama wewe bado ni kijana na hujaoa au hujaolewa, hicho kiasi kilichobaki baada ya makato kinatosha!
 
Na sisi tunaolipwa laki tatu kwa mwezi tusemaje?

Tanzania issue siyo madaktari, Watanzania wote tunaishi kama mateka, tatizo ni Ccm.

Hapo kuna mtu kaishia la saba ana chukuwa take home million 14 kwa mwezi kwa kazi ya kugonga meza tu bungeni.
Tatizo la Tanzania ni kuwa umasikini ni mkubwa sana, ndo maana watu wanalipwa kidogo sababu wana uwezo wa kuzitumia na zikabaki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…