Makapuku Forum

Makapuku Forum

Bagamoyo imetumika kisitiari mama [emoji180][emoji180][emoji180]. Unaweza kuiondoa na kuweka mji wo wote uliko na ndugu. By the way, kuna vilodge vizuri huko Bagamoyo na nikikualika utakuja tu hata kama huna ndugu huko...Halafu eti Lee hachepuki. Si ajabu ana michepuko mpaka jijini Koromije. [emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji34] [emoji34] [emoji34]
 
MMU chaka fishe lile. Nilishawahi pata mtu kule akawa ananitumia picha zake mrembo anawaka kuja kumwona laivu maweeee! Kumbe alikuwa ananitumia picha za Form IV bana wakati mtu mzima ameachika tena na watoto juu. Nilishaacha haya mambo ya mtandaoni kwa sababu miye sina tabia ya kuchezea watu. Basi ali-apologize sana wakati mi nilishapotezea jumla. Afadhali huku huku ngoja nikushupalie wewe tu mpaka kieleweke...
Ukomee
 
Back
Top Bottom