Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,582
- 1,105,833
Zipo mtu kama tatu hivi zote zimekaza macho kwa Shunie [emoji180][emoji180][emoji180]. Mchuano ni mkali ila naamini mi ndo nitaibuka kidedea. Nia ninayo, sababu ninayo na uwezo ninao (maneno ya mwl. Nyerere haya alipokuwa akimchimba mkwara Idd Amin). Tuwemoooo!!!Na wewe mkuu unamtaka shunie[emoji34] [emoji34] [emoji34] [emoji34]
Walaii waulize waliotanguliaa ....utapotea kama waliojaribu