Lee
JF-Expert Member
- Jul 31, 2013
- 44,008
- 150,542
Utafanya mbwembwe zote ila hutopata kitu ??Sitakuwa hewani kwa masaa kama sita hivi. Shunie akiamka jamani mnisalimie. She is always in my mind. Ngoja Lee atambe mpaka nitakaporudi.
Sikujua kama kufika Bujumbura ni kazi namna hii. Yaani hakuna direct flight. Hii imekaaje hii? Ningejua ni afadhali hata kama ningeshukia Bukoba au Koromije halafu nikanyage petroli. Shunie [emoji180][emoji180][emoji180] I am pissed. Pray for me baby. Nitakusemesha jioni...
Anyway ...ungepitia Ng'ara ingekuwa simple sana within 5 hrs unakuwa ushatimba