Tetramelyz
JF-Expert Member
- Apr 25, 2014
- 4,369
- 12,469
Wanawake ni wengi kuliko wanaume, mtu kama huyo anastahili adhabuhahahhahah kama upo single unafkili utakumbatia nn zaidi ya mto
Wanawake ni wengi kuliko wanaume, mtu kama huyo anastahili adhabuhahahhahah kama upo single unafkili utakumbatia nn zaidi ya mto
Huyo Lee ni jini? Amelala huku anaona kila kinachoendelea?sasa hivi siwezi lee anaona kila kinachoendelea pm
Hahaha, unafikili listi itaongezeka??Humu ntakua wa mwisho kulala najiona
umeshachelewa mm n wa lee afe yeye nife mmMi simtaki mtu mwingine. Mi ni Shunie tu mpaka kieleweke. Ikishindikana niko tayari hata kwenda kusomea useja kabisa.
hahahah adhabu ganiWanawake ni wengi kuliko wanaume, mtu kama huyo anastahili adhabu
Sina usingiziHahaha, unafikili listi itaongezeka??
Mimi sijali rangi. Actually I prefer chocolate (kama hii chini) japo tabia ni muhimu zaidi...acha wakunyakue walio singlena mnavyopenda totoz nyeupe
anaona vyote shimba vinavyofanyika pm kesho akiamka ata ukifuta chatHuyo Lee ni jini? Amelala huku anaona kila kinachoendelea?
Iwe kwa kweli au hata kwa kiapohuu wa lee unanitosha sitaki mwingine kwakweli
Mmmh huyo dada mtamuuMimi sijali rangi. Actually I prefer chocolate (kama hii chini) japo tabia ni muhimu zaidi...![]()
cute ana ushapeMimi sijali rangi. Actually I prefer chocolate (kama hii chini) japo tabia ni muhimu zaidi...![]()
Akija kudhurika usimlaumu mtu!siwezi![]()
Mchoro wa mdadaMimi sijali rangi. Actually I prefer chocolate (kama hii chini) japo tabia ni muhimu zaidi...![]()
yy mwenyewe yupo vizuri unafkili wa mchezo mchezoAkija kudhurika usimlaumu mtu!
sijakuelewaIwe kwa kweli au hata kwa kiapo
DhambiMchoro wa mdada
Ya kupewa wadada wawili wakukumbatia kama mto, usiku alalapohahahah adhabu gani
Hahah,,Tatizo mapenzi ni upofu, utawezaje kunielewa japo hata kwa kuona??sijakuelewa
hakuna namna kama hana demu akumbatie tuYa kupewa wadada wawili wakukumbatia kama mto, usiku alalapo