Tetramelyz
JF-Expert Member
- Apr 25, 2014
- 4,369
- 12,469
Japo ninakinyongo na wewe ila sina budihahahhahah jichekee tu
Japo ninakinyongo na wewe ila sina budihahahhahah jichekee tu
Yaani huku Makapuku kuna uhaba mkubwa wa mabinti. Imagine kuna Queen Kan, Shunie na mwingine sijui nani. Na karibu wote wanadai wana watu wao. Sasa sisi makapuku wengine tufanyeje? Ndiyo maana huko nyuma niliwahi kushauri tujaribu hata POLYANDRY liwalo na liwe...




Nimefanyaje tetra?Acha roho mbaya queen
Mkuu comenti yako nikisoma siishiwi kutabasamu asee sasa poradly niwapi huko ?Yaani huku Makapuku kuna uhaba mkubwa wa mabinti. Imagine kuna Queen Kan, Shunie na mwingine sijui nani. Na karibu wote wanadai wana watu wao. Sasa sisi makapuku wengine tufanyeje? Ndiyo maana huko nyuma niliwahi kushauri tujaribu hata POLYANDRY liwalo na liwe...
Utajuaje kama mioyo ya inafanya kazi vzrHiki chama chenu leo mmeniamulia....ulale unono![]()
Polee shimba, usijali utapata tuTulio single tunahaha kutafuta. Wengine waliopata wanatamani kuwa single ali mradi vurugu tupu.
Sasa mimi nawekwa kundi gani apo ?
hahahahahh kinyongo gan, halaf kuna kitu nimeona toka uingie huku kapuku umekua mpole mbona zaman ulikua mwongeaji sanaJapo ninakinyongo na wewe ila sina budi
NayapendaHahaha, macho yenye vijikopa vyekundu
Tutaenda kutafuta adi koromije mwaka huuTulio single tunahaha kutafuta. Wengine waliopata wanatamani kuwa single ali mradi vurugu tupu.

eb mfikilie tetra malkiaNimefanyaje tetra?
Ulale saiziUtajuaje kama mioyo ya inafanya kazi vzr
MMU chaka fishe lile. Nilishawahi pata mtu kule akawa ananitumia picha zake mrembo anawaka kuja kumwona laivu maweeee! Kumbe alikuwa ananitumia picha za Form IV bana wakati mtu mzima ameachika tena na watoto juu. Nilishaacha haya mambo ya mtandaoni kwa sababu miye sina tabia ya kuchezea watu. Basi ali-apologize sana wakati mi nilishapotezea jumla. Afadhali huku huku ngoja nikushupalie wewe tu mpaka kieleweke...si muende mmu mkatafute wenu muwalete huku kapuku
hahaha, kwani na mimi nimo??utanielewa tu kesho queen anafanya mchujo mpo wa3 kwahiyo jitahidi tu
mmh tetra usimtoe malkiaNapunguza jina lako....wamebaki wawili![]()
Subiri mchujoSasa mimi nawekwa kundi gani apo ?
Kwini nkaminimteme nan