Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,400
- 465,167
acha wakunyakue walio single [emoji23] na mnavyopenda totoz nyeupeMsukuma ni gentleman na hana mikwara yo yote. Atakayemnyakua hatajuta!!!
acha wakunyakue walio single [emoji23] na mnavyopenda totoz nyeupeMsukuma ni gentleman na hana mikwara yo yote. Atakayemnyakua hatajuta!!!
Ntajitahidi....nikimpataYa kupenda
Nitafika kuwatembelea ila huyo jamaa asiwepo!we jipe moyo tu lee ndio anaujua ukweli by the way tumekumiss jlw [emoji23] siku uje kututembelea kidogo
hapana aisee siwezi kuingia mioyo mingi nilioingia unatoshaHahahaha, ingia moyoni mwangu ujionee mwenyewe
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kazi njemaHata mm naona naanza kusep mim mkesha umenishinda ngoj niwajibike huku
Hili nalo neno, hahahanawe pia ulale salama kumbatia mto wako
Amezidi unoko. Mkanye![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] niachieni baby daddy wangu
hahaha inabidi uamini tuHahaha, kweli..ngoja niamini hivyo
Haya ngoj nibembeleze kwanza[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kazi njema
hahahahh usiku mwema na mm mda si mrefu naenda kuwajibikaHata mm naona naanza kusep mim mkesha umenishinda ngoj niwajibike huku
Amechoka au umemchosha? Wengine hatujaanza mambo ya kuchoka...if you know what I mean[emoji23][emoji23][emoji23]amechoka siwezi muamsha
hahahhah kule hayupo uwiiiiiii sipati picha akiingia nahisi atanizuia kuingiaNitafika kuwatembelea ila huyo jamaa asiwepo!
Jamani, siunaingia kuangalia then unatokahapana aisee siwezi kuingia mioyo mingi nilioingia unatosha
Haya mamaHaya ngoj nibembeleze kwanza
hahahhahah kama upo single unafkili utakumbatia nn zaidi ya mtoHili nalo neno, hahaha
siwezi [emoji23]Amezidi unoko. Mkanye!
Mi simtaki mtu mwingine. Mi ni Shunie tu mpaka kieleweke. Ikishindikana niko tayari hata kwenda kusomea useja kabisa.ndio umuwahi huoni mpo wengi hapo mnaemtaka
hahahhah mm ndio nataka nimuamshe ili nimchoshe zaidiAmechoka au umemchosha? Wengine hatujaanza mambo ya kuchoka...if you know what I mean[emoji23][emoji23][emoji23]
huu wa lee unanitosha sitaki mwingine kwakweliJamani, siunaingia kuangalia then unatoka
Jipe moyo mkuu wa kuthubutu