Makapuku Forum

Makapuku Forum

Bagamoyo imetumika kisitiari mama . Unaweza kuiondoa na kuweka mji wo wote uliko na ndugu. By the way, kuna vilodge vizuri huko Bagamoyo na nikikualika utakuja tu hata kama huna ndugu huko...Halafu eti Lee hachepuki. Si ajabu ana michepuko mpaka jijini Koromije.
Ng'ang'ania hapohapo....hadi ubarikiwe
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom