Mwinyi_ole_mushi
JF-Expert Member
- Oct 29, 2015
- 1,636
- 4,421
Ngoja niendelee na kazi usiku mwema kwenu
Na zingine si lazima zitolewe na madoktaEe zingine si ni za maji
Umeshakunywa pilitoni??Asante
[emoji23][emoji23]Na zingine si lazima zitolewe na madokta
Ngoja niendelee na kazi usiku mwema kwenu
Unachekaa??[emoji23][emoji23]
Thanks Malkia mwema. Good night to you too...Kesho nayo siku....may you all have a good night in your world of sweetest dreams ever....i heart you all[emoji7][emoji7][emoji7][emoji9][emoji9][emoji9][emoji9]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Ila kuja na pouwlisi pamoja na masouja hasa hasa muda huu inaruhusiwa?
Thanks BAK
Mornie, hope you are OK
Ushazimikiwaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Polee sana mkuu hope unaendelea vizuriDear Makapuku katibu wenu leo hayuko sawa toka muda aliotoka anasumbuliwa na maumivu ya kichwa (left side) so sina budi kuwakimbieni mapema.
Salam zikufikie my love emmyta [emoji173] [emoji173] [emoji173]
Kweli kabisahahaha nimemsogeza ata fahamu hana
Na unaipenda sanaacha tu band yangu naipenda sna