Makapuku Forum

Makapuku Forum

Aaaaa wapi! Mwisho wa siku we utakuwa wangu tu. Kwa sasa jishebedue tu. Na siku moja utalipia haya mateso unayonipa...

Halafu kesho Lee akija kuona haya maongezi atapanick balaa. Makapuku yaani mpaka raha...
hivi ujue lee nimezaa nae huyo uliyemkimbia mmu cha mtto mm ndio sura kama masoud sura mbaya lee peke ake ndio kanipenda nilivyo
 
Aaaaa wapi! Mwisho wa siku we utakuwa wangu tu. Kwa sasa jishebedue tu. Na siku moja utalipia haya mateso unayonipa...

Halafu kesho Lee akija kuona haya maongezi atapanick balaa. Makapuku yaani mpaka raha...
Mi alinitishier eti nisitaje jina shunie si nikataja alinuna mdomo ulifika kichogoni
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom