Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,400
- 465,167
hahhahahh najua aisee ila mapenzi yana nguvu nimekamatikaHahaha..hata kama, sio kwa staili hiyo
hahhahahh najua aisee ila mapenzi yana nguvu nimekamatikaHahaha..hata kama, sio kwa staili hiyo
sanaaaaYah twanga wako poa
[emoji23][emoji23]yupoo hivi anammendeaga ma mchuchu, BH mumie njoo ututambulishe Baba mchuchu wakoohivi baba mchuchu halisi n nan
na wote tuseme AmenTafakari ya usiku msome kwa uwezo wa roho mtakatifu
![]()
yupi mbona umemwita nyangei baba mchuchu nimeona mukongo nae alikua anaitwa baba mchuchu[emoji23][emoji23]yupoo hivi anammendeaga ma mchuchu, BH mumie njoo ututambulishe Baba mchuchu wakoo
PoleeeSijambo kiasi, nina dozi ya nemonia sina hamu
Haahahhaha, nishakua shem tena?? iko kazi shunie kashindwa nataka nikupe weweKazi ipi shem
Nimemuita tu kwakua katoa neno leoyupi mbona umemwita nyangei baba mchuchu nimeona mukongo nae alikua anaitwa baba mchuchu
Hahahahaahaha, wewe unatumia kiungo gani kupenda kwani?hahhahahh najua aisee ila mapenzi yana nguvu nimekamatika
Kwahyo mimi sio shemeji yako?Haahahhaha, nishakua shem tena?? iko kazi shunie kashindwa nataka nikupe wewe
Ameen [emoji120]na wote tuseme Amen
sawa malkiaNimemuita tu kwakua katoa neno leo
Ukiniambia kwa nani nitaweza kulijibu swali lakoKwahyo mimi sio shemeji yako?
HahHahhh kwa nn moyo tuHahahahaahaha, wewe unatumia kiungo gani kupenda kwani?
Uwii bora nisikujibu, naogopa kuumia[emoji22]Ukiniambia kwa nani nitaweza kulijibu swali lako
Mrembo unajua unacheka vizur mno.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Bagamoyo imetumika kisitiari mama [emoji180][emoji180][emoji180]. Unaweza kuiondoa na kuweka mji wo wote uliko na ndugu. By the way, kuna vilodge vizuri huko Bagamoyo na nikikualika utakuja tu hata kama huna ndugu huko...Halafu eti Lee hachepuki. Si ajabu ana michepuko mpaka jijini Koromije. [emoji23][emoji23][emoji23]hachepuki lee wangu halaf huko bagamoyo sina hata ndg
Hehehe, basi kuanzia leo jaribu kutumia na kichhwaHahHahhh kwa nn moyo tu
Kwa sauti ndogo, hawatasikiaUwii bora nisikujibu, naogopa kuumia[emoji22]
Mmmh we soud jamani[emoji23][emoji23]!! Mwisho utanisifia na vya uongo sasaMrembo unajua unacheka vizur mno.