Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,400
- 465,167
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] niachieni baby daddy wanguJamaa ana wivu balaa! Yaani ukitaja tu Shunie basi hata kama alikuwa amepotea mwezi huku Makapuku utamuona huyu anahema. Ananiudhiiii mpaka basi. Subiri kesho akiamka patachimbika balaa!