Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,076
- 463,977
Kasha piga tikihahhahah na ww ulikuepo sijui nn umemuudhi kakutoa kwenye mchujo
Nimeachika haki vileembona B mwenyewe harespond chochote kuhusu ww au umeachwa bila kujijua


Aaaaa wapi. Una vibe nzuri sana. We ni kati ya wale wanawake ukiwa naye mambo yako yanakwenda vizuri tu. Wanawake wa aina hii ni nadra; na mambo ya sura na uzuri wa mwili huu upitao unatupa pembeni kulee....hivi ujue lee nimezaa nae huyo uliyemkimbia mmu cha mtto mm ndio sura kama masoud sura mbaya lee peke ake ndio kanipenda nilivyo
Hata kwenye droo ya kazini kwako??mm siwezi ata kumuweka kokote
mmh kuhusu nn ujue sikuelewi eb kuwa muwaziKabisaa, hebu jidetermine tena utanielewa
HizohizoZipo mazubuti mkuu
Jamaa ana wivu balaa! Yaani ukitaja tu Shunie basi hata kama alikuwa amepotea mwezi huku Makapuku utamuona huyu anahema. Ananiudhiiii mpaka basi. Subiri kesho akiamka patachimbika balaa!Mi alinitishier eti nisitaje jina shunie si nikataja alinuna mdomo ulifika kichogoni
ila mwanzo kabla sijfunga unakumbuka ulikua unakuja ulikua una busara mwenyeweTena mpaka kieleweke...
Halafu Shunie wewe mkorofi. Umepiga kufuli PM. Kuna siku nimekuja full force PM na zawadi juu kumbe PM imefungwa. Mpaka leo bado nasonya!!!
Usimwambie ukweli weweAaaaa wapi. Una vibe nzuri sana. We ni kati ya wale wanawake ukiwa naye mambo yako yanakwenda vizuri tu. Wanawake wa aina hii ni nadra; na mambo ya sura na uzuri wa mwili huu upitao unatupa pembeni kulee....

hahahh umerudishwa tena jitahidi msukuma asikuwahi si unaona mikwara yakeKasha piga tiki
Basi karibu tena. Usingeondoka pengine wengine tusingeangukia huku kwenye mateso, suluba na ukatili wa akina Shunie. Hata hivyo kila jambo hupangwa ati!Nilitoka kidogo
Ufanyie mazoezi kwangu basiKesho ntajitahidii
MmmmhBasi karibu tena. Usingeondoka pengine wengine tusingeangukia huku kwenye mateso, suluba na ukatili wa akina Shunie. Hata hivyo kila jambo hupangwa ati!
we jipe moyo tu lee ndio anaujua ukweli by the way tumekumiss jlwAaaaa wapi. Una vibe nzuri sana. We ni kati ya wale wanawake ukiwa naye mambo yako yanakwenda vizuri tu. Wanawake wa aina hii ni nadra; na mambo ya sura na uzuri wa mwili huu upitao unatupa pembeni kulee....
siku uje kututembelea kidogo
kokote siweziHata kwenye droo ya kazini kwako??

Mazoezi ganiUfanyie mazoezi kwangu basi

Hahahahaha.. sitakihahahh umerudishwa tena jitahidi msukuma asikuwahi si unaona mikwara yake
Hata kama angekuwa macho tungempa za uso tu. Mwamshe kama ana ubavu.mnamsema sbbu kalala