Husna Muba
JF-Expert Member
- Jan 28, 2017
- 14,524
- 44,585
Muache atafute hela kwanza jioni nitampaHapo ungempa na mauwa binamu yangu jaman
Muache atafute hela kwanza jioni nitampaHapo ungempa na mauwa binamu yangu jaman
Tupo tunapambana mkuu maana wanasema ukiwa na nguvu ndo mda wa kujipaga ili nguvu zikipungua uwe umejipanga angalau kidogoMapambano vipi huko?
Njoo ushinde humu kwa siku 1 tu utaelrwa kinachoendeleaMsingi wa hayo maneno ni nini?? Yaani hoja ni nini humu??
Leo katika Historia
1982 - Antonio Cassano mchezaji wa mpira toka Italy anazaliwa.
AmenMUNGU pishia mbali roho hii inayotaka nimtusi mtu, Amen
****
Mkuu humu kila kitu unachopata huko kwenye forums huku kipo kasoro ya JLW. Kuna mada mbali mbali kuanzia asubuhi mpaka usiku ila muda huu ni story tu
Nampenda sanaa+ kujivunia
Familia hawajamboNzuri mpendwa, za familia
Anatumia uwezo wake vizuri![]()
![]()
![]()
Kakipiga Inter,Roma,Sampdoria,Madrid n.k
Jamaa ni kiguu na njia
.......
oooh niko poa kipenzi cha moyo wanguMambo dia?

Una mawifi bora kabisaJamani huyu kaka ana Dada wanampenda hatari
Mkuu pongezi nyingi kwako, nimepitia nondo zako zinatisha sana..keep it upPamoja sana mdau
.....
SweetieAnatumia uwezo wake vizuri
, mambo!
Achana nao haoo...Cc sakayo
HeeTutaonana mwakani jamaan Mungu akipenda![]()
Sawa sawa mkuu JJNampenda sanaa
HahahaHata macho yanaonesha tuu