Demi
JF-Expert Member
- Nov 22, 2016
- 42,520
- 94,670
We achaMpaka wapi
We achaMpaka wapi
Ukuje unipitishie usirudishe zote bana nipo mbeziUko wapi nikuachie tuela twa mboga?
Hbd JulioLeo katika Historia
1962 - Julio Cesar Chavez. Bondia wa ngumi toka nchini Mexico anazaliwa.
Hbd Bebe nimependa jina lakeLeo katika Historia
1990 - Bebe. Mchezaji wa mpira toka Ureno anazaliwa.
Ukimkunda mvyee hemna kufikiria... Ambu lelo nzaamua nkughambie ukweihunifuraisha ufikilie mbwai kuongea hivi
Ukimkunda mvyee hemna kufikiria... Ambu lelo nzaamua nkughambie ukwei




Welcome Wazza
Hbd Luke ShawLeo katika Historia
1995 - Luke Shaw. Beki wa kushoto wa Man Utd anazaliwa.
Hongereni sanaHuu uzi unapumulia mashine, muda si mrefu uzi wa likes utakuwa unauangalia uzi huu kwenye side mirror na rear view mirror!
MwanawaneUko wapi nikuachie tuela twa mboga?
Asante wizo kwa historiaNi matumaini yangu kuwa wote hamjambo na mnaendelea vyema na shughuli zenu za kila siku.
Asanteni sana kwa kuwa pamoja nami katika historia,
Tukutane tena kesho kwa udhamini mnono kabisa wa Gwajima. Niite Jimena Jimenes![]()
![]()
Bye...
Nunua nyingine mkuuTECNO N8 HAIWAKI, NIFANYEJE?
Nisaidiei jamani. Simu ya Tigo Tecno N8 haitaki kabisa kuwaka. Nimechomoa na kurudisha battery lakini hakuna tu.
Nifanyeje? Wajuzi nisaidieni.
Sent from my TECNO-C8 using JamiiForums mobile app
Mkuu..Okei, KISTAARABU NAJA, wenyeji humu mnafanyaga nini? Mi nilidhani mnaongeaga tu kumbe mnafanyaga pia!
Wakuu mmeamkaje
UTAFITI HEWA
Ukiwa bize kuchukuza ya watu tambua unao wachunguza wako bize kufanya yao
Tumia muda wako kwa kutatua changamoto zako ya watu wachie wenyewe






