Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,076
- 463,977
Sema Suuuuuu nitoke mpaka mwakaniAcha matishio basi
Sema Suuuuuu nitoke mpaka mwakaniAcha matishio basi
WoyoooooNisingewaacha mwakani kesho kutwa tu mpenzi mngeniona ila sakayo akanitisha nisipoingia eti me na yeye basiiii ikabidi tu jana nirudi nawapenda sana
MmmmhSema Suuuuuu nitoke mpaka mwakani
Afadhali kafanya la maana,tunakupenda piaNisingewaacha mwakani kesho kutwa tu mpenzi mngeniona ila sakayo akanitisha nisipoingia eti me na yeye basiiii ikabidi tu jana nirudi nawapenda sana
SuuuuuuuuSema Suuuuuu nitoke mpaka mwakani
Tuko gudi kabisaaa
Nvitana.... Si ng'we nge niituke mghoshi wako.





hunifuraisha ufikilie mbwai kuongea hiviHata macho yanaonesha tuuMie Nililala saa kumi mbona.... Kule kwenye uzi nimetoka wa mwisho
Wewe apo eti mkuuNani mkuu?
HahahaaaNisingewaacha mwakani kesho kutwa tu mpenzi mngeniona ila sakayo akanitisha nisipoingia eti me na yeye basiiii ikabidi tu jana nirudi nawapenda sana


Tuko gudi kabisaaa
Shela la njano? MmhWoyooooooooo na shela la njano kama yange yange nijichekee mie hushindwiiii
WarereeeeUmeonaee...
Zile thread?Najua dada jana acha niwe popo mpaka kwenye uzi wa jf usiku wa manane nililala saa 9 nikakumiss tu