Nyagei
JF-Expert Member
- Jul 7, 2015
- 13,201
- 44,601
Vizuri sanaTupo tunapambana mkuu maana wanasema ukiwa na nguvu ndo mda wa kujipaga ili nguvu zikipungua uwe umejipanga angalau kidogo
Vizuri sanaTupo tunapambana mkuu maana wanasema ukiwa na nguvu ndo mda wa kujipaga ili nguvu zikipungua uwe umejipanga angalau kidogo
Dada uko poa!Achana nao haoo...
Pamoja mkuuVizuri sana
Leo katika Historia
1990 - Bebe. Mchezaji wa mpira toka Ureno anazaliwa.
Naandika majina ya wapiga keleleMmh ndai huyo hata iwe na ujanja woshe huumwa huo utamu kama hakukunda ekana nae wavyee wako wengi humu
Nna utamu wa kukunda..... Namkunda mvyee lakini hanikunda
Nawe pia mdogo wangu![]()
barikiwa dada
NdioDada uko poa!
Leo katika Historia
1991 - James Rodriguez. Mchezaji wa mpira toka Real Madrid na Colombia anazaliwa.
Kwani washakuwa mawifi zangu??Una mawifi bora kabisa
Kwani washakuwa mawifi zangu??

Woyooooooooo na shela la njano kama yange yange nijichekee mie hushindwiiii
yangeyangeNaamini asemayoMaana yako bado una maswali juu ya kauli yake?
We bado unamtafutaga tu huyo demi

Speed 360Speed ya KF leo ni hatari, ndo maana traffic wametumbuliwa
Tunawaweka akiba![]()
![]()
![]()
Madrid waharibifu wa vipaji vya wachezaji kama Yanga tu
Wanajilimbikizia furushi la wachezaji wenye vipaji kisha wanakaa benchi tu
Now jamaa kasaini Bayern kwa mkopo
......
Leo katika Historia
1995 - Luke Shaw. Beki wa kushoto wa Man Utd anazaliwa.
Asante kwa picha Bitoz. Leo katika Historia imekuwa kama ya wachezaji siku ya leo....![]()
Kibonge huyu ana kipaji ila ni bingwa wa kutumia![]()
Asingekuwa mwingereza angeshauzwa
.
.
.
Tukutane baadaye wadau
Niwatakie mchana mwema
........
Mie pia nakumissMarahaba dogo langu
Nakumiss![]()