Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,400
- 465,165
Imenichekesha tu mtu aliyebebwa mti wenyewe mfupiImefanyaje dada
Imenichekesha tu mtu aliyebebwa mti wenyewe mfupiImefanyaje dada
Mie muoga na hela za watuMimi ntafundisha fees utachukua... Ukipenda unaweza kumpa Demi Pesa ya vocha
Usiniambie kweliii kumbe wote njia mojaDah hii home kabisa
Huu ubabu vipiii lakini kutoka kaka mpaka sasa unataka nikuite babu jamanMimi Niko poa tunaongea kinyumbani na mjukuu wangu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ongea tu kaka jamaanWala usijali mkuu mi nikianza kuongea kinyumban na dada yangu mama mchungaji huwa shunie hapendi ila leo naona anapiga lugha yake kama yuko kwao tanga
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Lina swaga sana sasa usiombe mwenye jina hili awe ex wa shemeji akimtaja tu we moyo wote unakulipuka
Ndio na kuanzia sasa we utakuwa binamu yangu (cuzzo)Usiniambie kweliii kumbe wote njia moja
KumbeeMapenzi yanaoteshwa kama.... Ardhi nyingine zina rutuba ukiweka mbegu inamea.... Ardhi nyingine inabidi utafute mbolea.. Umwagilie lakini mmea utaota na matunda utatoa. Ha ha ha ha.
Imi sikunda na imi nna Yesu ngevishinde vyosheEwaaa.... Ukinghoshoia tabu... Nge niite kwa mazumbe wa kuja mbaramo wanghoshoie mambo nkughuwe mazima.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]shemela kama nakuona unacheka sana kama unaelewaUmetisha shemela
Baba watatu [emoji10][emoji10][emoji10]TEAM DECEMBER![]()
Ahahhhh alinitisha sana shemela janaAu alikutishia kukunyonga?
[emoji85] [emoji85] [emoji85]Haaaaahaaaa
Nimefurahi sana JimenaKabisa kabisa
Ughuane na ndai imi eka du sikunda mghoshi wa aina yeyosheEka tighuane sisi kwa sisi
Ahahahhh babu ananifurahisha sana sijui ndio kutaniana na mjukuu mzeewakungoa leo naona ameamka na mimiHehe heheeeeee.....wouuuuiiiii
Babu anatongozaaaaaa
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Binamu ukuje usikieNitampa jioni
BarikiwaBarikiwa sana shemeji
Kaka shikamoo jaman[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Sanaaa kakaUna mawifi bora kabisa